
Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries Akimnywesha muumini wake petroli ili apone
Pastor Lesego Daniel hapo nyuma alikuwa na tabia ya kuwapa amri waumini wake kula majani au nyasi mbichi kama moja ya masharti ya waumini wake kuwa karibu na Mungu kwa kula majani kama vile wanyama aina ya kondoo au mbuzi ambao chakula chao ni majani au nyasi. huku akiwaambia kua binadamu ameumbiwa kula chochote kile.
huyu ndiye mchungaji Lesego Danielaliyewaagiza waumini hao kula majani |
Baada ya waumini hao kula majani baada
ya mda mfupi walianza kuugua ghafla na wengine kujikuta wakitapika na
kushikwa na homa ya matumbo na hali ilikua kama inavyoonekana katika
picha hapa chini.
waamini wakirudisha chenji(wakitapika) baada ya kula majani
Hata hivyo mchungaji huyo hajakoma kuwafanyia vituko waumini wake kila leo amekuwa akibuni njia mpya za uponyaji
No comments:
Post a Comment