Thursday, November 13, 2014

MTOTO ANYONGWA BILA HURUMA ENEO LA MAJOHE DAR ES SALAAM


Mtoto Nuru kabla yakufikwa na umauti pichani alipo kuwa na miaka 3.Mtoto huyo anadaiwa kunyongwa Alhamisi iliyopita na kuzikwa katika Makaburi ya Majohe kwa Muslim
Nguo ya Mmtoto huyo alio kua ameivaa kabla ya kunyongwa kinyama .

Mama wa marehemu Nuru Mohamedi , ambaye ni Sauda Ally (wakwanza kushoto). akiongea kwa shida na mwandishi wa habari, Nyumbani kwa Mama huyo leo Dar es Salaa eneo la Majohe.




Familia ya mtoto Nuru Mohamed (7) pichani juu, wakitoka nje baada ya kumuonyesha mpiga picha wa Gazeti la sehemu iliyopo ndani ya pagala alipouawa mtoto huyo kwa kuwekewa matofari juu ya mtu asiyejulikana Alhamisi jioni eneo la Majohe Kichangani, Ukonga, Dar es Salaam.
Pagala la Nyumba hilo lipo barabara