Sunday, August 10, 2014

HUYU NAE NI MWANAMKE


Mwanamama Power Black Nyati 'Jike Jeuri' akifanya vitu vyake ndani ya Tamasha la Usiku wa Matumaini 2014.
'Jike Jeuri' akipiga 'push - up' ndani ya Uwanja wa Taifa.
'Jike Jeuri' akiwatoa jasho mabaunsa wawili walioshindwa kupeleka kidole chake chini.
Baada ya kuwatoa 'knock out' mabaunsa wawili, ilibidi aongezeke mwingine wawe watatu lakini bado walishindwa kupeleka kidole cha Jike Jeuri' chini.

No comments:

Post a Comment