KWA NINI WAHESHIMIWA WOTE HAWAONYESHI HAYA KAMA HUYU MHE.MWIGULU NCHEMBA??KAVUNJA REKODII..HEBU ANGALIA ALICHOFANYA
Nilifanikiwa kuonana na Mhe.Mwigulu hakuwa na mengi ila nakumbuka tu maana alianza kwa kuniambia hivi:
Mwigulu Nchemba:
Namshukuru sana Mungu,Nimetimiza Miaka 10 ya NDOA yangu.Pongezi Nyingi
sana Kwa Mama Joshua (Mke Wangu),Familia Yangu,Ndugu,Jamaa na Watanzania
Wote kwa Maombi Yenu. Yohana.13.34.Anasema pia jukumu la kulea
watoto wetu ni letu wote ndiyo maana kwa mapenzi ya dhati nikiwa
nyumbani natamani kumsaidia mke wangu kazi mbalimbali ikiwepo kukaa na
watoto,kitu ambacho kwangu kinanipa furaha sana kwani muda mwingi
nimebanwa na majukumu ya kitaifa na kimataifa..
No comments:
Post a Comment