Sunday, August 10, 2014

USIPOSTAAJABU YA MUSA UTAONA YA FILAUNI. HUYU NAE NI SAMAKI NA ANALIWA

Yaweza kuwa hujawahi kufikiri ipo siku utakula samaki kama huyu ila tuu ukae ukijua yakuwa samaki nguva yupo na analiwa hivyo kuwa makini na kila kitu unachokula kilichokuwa tayari kimeandaliwa

No comments:

Post a Comment