Monday, September 22, 2014

MCHUNGAJI ANASWA AKIMUOGESHA MKE WA MTU KATIKATI YA MAOMBI..


Mchungaji alipigwa picha hii wakati akiosha mke wa mtu ambaye alikuwa uchi wakati wa mfululizo wa maombi ya utakaso.
Picha hiyo imeleta mzozo na maswali mengi nchini Ghana. 
Mmoja wao alisikika akisema "Tumesikia hizi habari za wachungaji kuosha wake za watu, lakini leo tumemkamata huyu waziwazi...

No comments:

Post a Comment