‘Sensei’
Yahaya Hassan Hella pichani kinara wa matukio mbalimbali ya ulipuaji wa
mabomu hapa nchini ambaye Jeshi la Polisi na vyombo mbalimbali vya
usalama vinamtafuta huku Serikali ikitangaza dau kwa mtu atakeyetoa
taarifa zake kwenye kituo cha polisi kilichokaribu nawe. (Picha na
Mahmoud Ahmad, Arusha).
No comments:
Post a Comment