Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
PICHA NA IKULU
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mama Salma Kikwete pamoja na Wabunge Mhe
Abdul Mketeme (kushoto) na Mhe Getrude Rwakatale (kulia) wakifunua
pazia kwa pamoja kuashiria kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro
vijijini Agosti 22, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa maeneo mbali mbali ya kituo cha Afya
cha Kibaoni Morogoro vijijini baada ya kukifungua Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea akikagua wodi mpya ya kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na wazazi baada ya kufungua kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na watendaji wa
kituo cha Afya cha Kibaoni Morogoro vijijini Agosti 22, 2014
No comments:
Post a Comment