Monday, November 24, 2014

MBUNGE WA KIGOMA KUSINI,MHE DAVID KAFULILA NA JESSICA KISHOA WAUNGANA NA KUWA MWILI MMOJA



 Mbunge wa Kigoma Kusini Mhe David Kafulila akiwa na mai waifu wake Jessica Kishoa wakijiandaa kukata utepe wa kuingia katika mnuso kwenye ukumbi wa Annex uliopo Uvinza, Kigoma,  jana Jumamosi Novemba 22, 2014
 Mhe David Kafulila akiwa kanisani  na mai waifu wake wa Jessica Kishoa wakati wa  kufunga ndoa katika kanisa la Roman Catholic katika Parokia ya uvinza, Kigoma, jana Jumamosi Novemba 22, 2014
 Mhe David Kafulila na mai waifu wake Jessica Kishoa pamoja na wapambe wao Mhe. Deo Filikujombe na mke wake Sarah Filikunjombe wakipeleka keki kwa wazazi wa bwana harusi 
Baadhi ya Waheshimiwa Wabunge waliopamba  harusi ya Mhe. David Kafulila katika picha ya pamoja. Kutoka kushoto ni Mhe Deo Filikunjombe. Mhe.David Kafulila ambaye ndiye Bw. Harusi, Mhe  Zitto Kabwe na Mhe David  Silinde. Picha zote na Editha Karlo wa Globu ya Jamii, Kigoma
Mkoko waliotembelea siku hiyoHammer

1 comment:

  1. Nimeipenda hii taswira iliyo oneshwa na hawa waheshimiwa!.. Nilicho jifunza ni kuwa licha ya kutofautiana kiitikadi katika medani ya siasa, ni marafiki wakubwa.

    ReplyDelete