RAIS KIKWETE AHITIMISHA MAZUNGUMZO YAKE NA UJUMBE WA KITUO CHA DEMOKRASIA IKULU NDOGO DODOMA
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na ujumbe wa Kituo cha Demokrasia Tanzania
(TCD) baada ya kumalizika kwa awamu ya pili ya mazungumzo nao Ikulu
Ndogo mjini Dodoma leo. PICHA NA IKULU.
No comments:
Post a Comment