Mwenyekiti wa Baraza la Wanawake Taifa Chadema, (BAWACHA), Halima Mdee akisisitiza jambo wakati akiongea na waandishi wa habari jijini Dar es Salaam leo juu azma ya baraza hilo la wanawake kufanya maandamano makubwa ya kumshinikiza Rais Jakaya Kikwete asipokea rasimu iliyotengenezwa na bunge maalum la katiba. mwenyekiti huyo alimesema maandamano hayo yamepangwa kufanyika katika wiki ijao hajataja siku gani lengo kubwa la maandamano ni kufikishwa ujumbe kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano Jakaya Kikwete kuwa rasimu hiyo si ya wananchi huku akisema yatakuwa ya amani tuu
Baadhi ya wakazi wa mji wa dodoma leo wakipita mbele ya uzio wa Ofisi kuu ya CCM Mkoa huku wakisoma ujumbe ulioandikwa kwenye uzio wa CCM wenye maandishi yanayosomeka Ufisadi no Katiba ,ujumbe huo haukujulikana umeandikwa na Watu gani katika maeneo mbalimbali mjini hapa Dodoma |
No comments:
Post a Comment