Mchungaji wa Afrika Kusini aliyewahi kuwalisha waumini wake majani,
sasa anawanywesha petrol.Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre
Ministries aliwahi kuandikwa sana na vyombo vya habari duniani kwa
kuwaagiza wafuasi wake kula majani kama wanyama kwa madai kuwa binadamu
wanaweza kula chochote kilichotoka kwa Mungu.BOFYA KUANGALIA VIDEO>>
No comments:
Post a Comment