Kijana mmoja nchini Kenya alilazimishwa kutembezwa akiwa mtupu mtaani ili kuchangisha fedha za kumuwezesha kufanyiwa tohara.
Hatua hiyo ilikuja baada ya kijana huyo kudai hana pesa ya kwenda
kufanya tohara na wanaume wenzake kuamua kumtembeza mitaani ili aweze
kusaidiawa kupatiwa kiasi cha pesa kitakachomwezesha kufanyiwa huduma
hiyo.
Kiongozi wa kundi lililokua likimtembeza mitaani Peter Mwogera
alisema lengo la kumzungusha mitaani uchi ni kutaka jamii ya watu wa
Githurai waamini kuwa kijana huyo alikua hajafanyiwa tohara.
No comments:
Post a Comment