Jamii yetu inamambo mengi sana ambayo yanatakiwa yafanyike kila siku lakini chakusikitisha ni kwamba watu wengi tunatazama nyuma na tunaacha kutazama ya mbele. ulipatapo tatizo likubali halafu jipange ni namna gani utalikabili na kisha kabiliana nalo na ulitatue. Mtazame Mungu peke yake kisha songa mbele
No comments:
Post a Comment