WANAFUNZI WA CHUO CHA MZUMBE WAUA MWIZI WA LAPTOP CHUONI MOROGORO
Wanafunzi
wa mzumbe main campus Morogoro wameua mwizi alyeiba laptop kutoka
mabweni mawili tofauti, taarifa zaidi zinasema uuaji huo umetokana na
hasira kali za wanafunzi hao kuibiwa laptop kila siku na pia mwanzafunzi
mwenzao kuvamiwa barabarani na kujeruhiwa na visu siku zilzopita....
No comments:
Post a Comment