Thursday, August 14, 2014

AFANDE SELE AFIWA NA MZAZI MWENZAKE ASHA aka 'MAMA TUNDA'

Afande Sele akiwa katika picha ya pamoja na familia yake (picha ni ya muda kidogo), kutoka kulia ni mama wa familia hiyo Marehemu Asha Msindi, Seleman Msindi .a.k.a dume la simba, aliyempakata ni mtoto wake mdogo anayeitwa Asante Sana na wa mwishoni Tunda.

Kupitia ukurasa wake wa Facebook Afande Sele amepost taarifa ifuatayo kuhusiana na kifo cha mzazi mwenzake aneitwa Asha au Mama Tunda.
Pichani ni Afande Sele na mzazi mwenzake marehemu Asha aka Mama Tunda

Mtandao huu unatoa pole kwa Afande Sele pamoja, mtoto wao na familia nzima kwa ujumla. May her soul R.I.P

No comments:

Post a Comment