Treni
lililobeba abiria zaidi ya 200 limepata ajali kwa kutereza pembeni ya
reli na kusababisha baadhi ya mabehewa kuwa nje ya reli. Abiria
waliokuwemo ndani ya treni hilo walilazimika kukimbilia upande wa pili
wa treni hilo ili kuepuka lisidondoke kwenye maporomoko.Juhudi hizo
zilisaidia na hakuna mtu aliyefariki kwenye hiyo ajali lakini watu 11
walipata majeraha na watano kati yao kupata majeraha makubwa.
Ajali hii imetokea kwenye mlima ya nchini Uswisi.
No comments:
Post a Comment