JK APOKEA KATIBA INAYOPENDEKEZWA MJINI DODOMA LEO
Mwenyekiti
wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akikabidhi katiba
inayopendekezwa kwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya
Mrisho kikwete na Rais wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed
Ali Shein katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa michezo wa Jamhuri
mjini Dodoma Oktoba 08, 2014
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.Jakaya Mrisho kikwete na Rais wa
Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Dkt.Mohamed Ali Shein wakiwa wameinua
juu Katiba inayopendekezwa katika hafla iliyofanyika katika uwanja wa
michezo wa Jamhuri mjini Dodoma Oktoba 08, 2014 Kulia ni
Mwenyekiti wa Bunge maalum la Katiba Mhe.Samuel Sitta akifuatiwa na Makamu wake Mhe samia Suluhu Hassan
No comments:
Post a Comment