Maiti ya
Mwanaume anayekadirikiwa kuwa na Umri kati ya miaka 25-35, imeokotwa
asubuhi ya leo katika Mfereji wa Maji ulioko jirani na kiwanda cha
kukoboa Kahawa (Coffee Curing), maeneo ya Majengo Fire, wilaya ya Moshi,
mkoani Kilimanjaro.
Baadhi ya wananchi wakishangaa maiti ya mwanaume huyo ambaye jina lake na wapi na chanzo cha kifo chake bado hakijajulikana
Huu ndio mfereji ambako mwili wa mtu asiyejulikana ulikokutwa leo asubuhi.
Wananchi wakishiriki kuupakiza mwili huo kwenye gari la Polisi
No comments:
Post a Comment