Walikuwa wakibatizwa na mchungaji Nehemia Upendo wa kanisa la POOL of SILOAM jijini Mwanza katika ziwa la victoria ambapo maswahibu haya ya watu wawili kufariki baada ya kusombwa na wimbi lililokuja ghafla na kushindwa kujiokoa
Huu utaratibu wakubatiza ziwani bila kujali hali ya hewa usifumbiwe macho. kwani ilipaswa wao kufuata maelekezo kutoka kwenye mamlaka ya hali ya hewa kama nia ilikuwa kufanya ubatizo ndani ya ziwa hilo. sheria ni lazima ichukue mkondo wake kutokana na uzembe huu
Wakati watu wanabatizwa wakapigwa na wimbi.
Watu wawili wameripotiwa kufa.HIVYO watu musifanye mambo kwa mazoea wakati mwingine shetani nae hujichukulia umaarufu kwenye matukuo kama haya
No comments:
Post a Comment