Baada
ya vyombo vya habari kuripoti kuhusu Waziri wa Maliasili na Utalii
Lazaro Nyalandu(Pichani juu) na msanii wa filamu Aunty Ezekiel kuvinjari
nchini Marekani hatimaye waziri huyo a
alisema
tuhuma hizo zimetengenezwa na kundi la watu ambalo miongoni mwao ni
baadhi ya viongozi wa Serikali ambao humchafua kutokana na utendaji kazi
wake.
Aunt Ezekiel
No comments:
Post a Comment