ZITTO AMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE
MBUNGE
Jimbo la Kigoma Kaskazini Zitto Zuberi Kabwe amemtambulisha mchumba
wake mpya anayetarajia kufunga nae pingu za maisha hivi karibuni.
Mchumba huyoUtambulishio huo wa mchumba wa Zitto ulifanywa na Mbunge
wa Kigoma Kusini David Kafulila (NCCR-Mageuzi) wakati wa sherehe ya
Harusi yake iliyofanyika kwenye ukumbi wa Annex.hali ilikuwa hivi;
baada ya Kafulila kutambulisha ndugu zake pamoja na wazazi wake ndipo
alianza kutambulisha wageni wengine na kuanza na mchumba mtarajiwa wa
Zitto Kabwe aliyemtaja kwa jina la Anna.“Huyu wa kwanza anaitwa Anna
anafanya kazi Ubalozi wa Ireland ni mchumba mtarajiwa wa Zitto Zuberi
Kabwe, anayefuata kutoka kushoto kwa Anna wote mnamfahamu ndiyo Zitto
mwenyewe na anayemfuata ni Mwalimu wangu wa chuo kikuu Kitila Mkumbo na
mwisho ni mbunge mwenzangu David Silinde hao ndo walio nisindikiza
No comments:
Post a Comment