YULE MCHAWI ANAYEMEZA MAPANGA, ALIYEKATAZWA KUINGIA DUBAI
Rolf
Buchholz, Mjerumani anaetajwa kuwa mtu mwenye vipuli vingi zaidi usoni
akiwa amejitoboa zaidi ya mara 100 usoni amekataliwa kuingia Dubai
kutokana na sababu za kiusalama.
Rolf
alikuwa amejipanga kufanya onesho la sarakasi na kikundi chake nchini
humo ambapo huonesha michezo mbalimbali ikiwa ni pamoja na ‘kumeza
mapanga’.
No comments:
Post a Comment