Tuesday, September 30, 2014

MCHUNGAJI ALIYEWALISHA WAUMINI MAJANI BAADAE KUWANYWESHA PETROLI SASA AWAPONYA WAGONJWA KWA KUWAKANYAGA KANYAGA



Yule Pastor Mwenye Vituko Vingi Kutoka South Afrika anayejulikana kwa jina la Lesego Daniel amekuja na Mpya baada ya kuwalisha majani waumini na kubadilisha petrol kuwa Juice ya Apple , Sasa eti anawaponya Waumini wake ambao wanasumbuliwa na magonjwa kwa kuwakanyaga migongoni
 
Pastor Lesego Daniel wa Rabboni Centre Ministries Akimnywesha muumini wake petroli ili apone


 Pastor Lesego Daniel  hapo nyuma alikuwa na tabia ya kuwapa amri waumini wake kula majani au nyasi mbichi kama moja ya masharti ya waumini wake kuwa karibu na Mungu kwa kula majani kama vile wanyama aina ya kondoo au mbuzi ambao chakula chao ni majani au nyasi. huku akiwaambia kua binadamu ameumbiwa kula chochote kile.

Baada ya waumini hao kula majani hayo baada ya mda kupita waumini hao walijikuta wakiwa katika hali ya mkimbizano kila mmoja akijikuta akitatapika na wengine kuvutana kwenye vyoo ikiwa ni katika kuwahi kujisitiri baada ya kukumbwa na mchafuko wa tumbo la kuhara uliowakumba ghafla baada ya kula majani hayo
Although the pastor has not responded to the backlash he posted on Facebook yesterday: 'God is at work and His people are testifying right now'
huyu ndiye mchungaji Lesego Danielaliyewaagiza waumini hao kula majani
Aidha imeripotiwa kua mchungaji huyo alianza kwa kuwakanyaga juu ya miili yao kama njia ya kuwabariki na baadae kuwapa agizo waanze kula majani kama ng'ombe kama njia ya kua karibu na mungu.

Under the instruction of Pastor Lesego Daniel of Rabboni Centre Ministries dozens of followers dropped to the floor to eat the grass at his ministry in Garankuwa, north of Pretoria 


The congregation were told eating the grass will 'bring them closer to God' 
Baada ya waumini hao kula majani baada ya mda mfupi walianza kuugua ghafla na wengine kujikuta wakitapika na kushikwa na homa ya matumbo na hali ilikua kama inavyoonekana katika picha hapa chini.
Photos that follow show dozens of people getting sick 
Photos that follow show dozens of people getting sick in the toilets - an image of the bathrooms show women clutching their stomach, while the men are vomiting in the sink. 
Photos that follow show dozens of people getting sick in the toilets - an image of the bathrooms show women clutching their stomach, while the men are vomiting in the sink. 
waamini wakirudisha chenji(wakitapika) baada ya kula majani
Hata hivyo mchungaji huyo hajakoma kuwafanyia vituko waumini wake kila leo amekuwa akibuni njia mpya za uponyaji

ONESHO LA SITE KUFUNGULIWA KESHO MLIMANI CITY


expo_011
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said vMeck Sadick (kulia) akizungumza na waandishi wa habari jijini Dar es jana juu ya kufanyika kwa maonyesho ya utalii yanayoratibiwa na  Bodi ya Utalii Tanzania (TTB). Picha: MPIGAPICHA WETU
Na Mwandishi Wetu
ONESHO la kimataifa la utalii ‘Swahili International Tourism Expo’ (SITE) linaloandaliwa na Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) linafunguliwa rasmi leo (kesho Jumatano) katika ukumbi wa mikutano wa Mlimani City na litamalizika Jumamosi.
Tayari maandalizi yote kuelekea ufunguzi wa onesho hilo yamekamilika na kwamba watanzania wametakiwa kujitokeza kwa wingi kuja kujionea vivutio adhimu wa taifa hili.
Shirika la Hifadhi ya Taifa (TANAPA), Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) pamoja na Shirika la Ndege la Ethiopia ndio wadhamini wa onesho hilo linalotarajiwa kushirikisha mataifa mbalimnali ulimwenguni.
Wadhamini wengine ni pamoja na Zanzibar collection, Hoteli za Sea Cliff, Serena hotel, Southern Sun,NewAfrica, Hyatt Regency,Protea, Serena hotel, Bouganvillea Safari lodge, Acacia Farm lodge na Soroi Tented Camp zimedhamini huduma ya malazi kwa wageni maalumu.
Pamoja na washiriki wengine onesho hilo linatarajiwa kushirikisha wafanya biashara wakubwa na watalii kutoka Marekani, Uingereza, Ujerumani pamoja na wandishi wa habari wa kimataifa wanaokuja kwa ajili ya onesho hilo.
Wakati Wizara ya Mambo ya Nje na Uhusiano wa Kimataifa ikitoa udhamini wa mabasi ya kubebea washiriki wakati wa onesho hilo, benki ya CRDB imetoa udhamini wa fedha taslimu na inatarajiwa kuwa na banda ndani ya maonesho hayo ya aina yake.
Usafiri wa ardhini  utadhaminiwa na makapuni Zara Tours, Naeda Safaris Ltd, Wildlife Expedition Safari, huku Azam Marine wakijitokeza kudhamini usafiri wa baharini kutoka Zanzibar. Mashirika ya ndege ya Rwandair, Precision Air na Uturuki (Turkish airline) yatatoa tiketi za ndege kwa ajili ya kuwasafirisha baadhi ya wageni wakati wa onesho hilo.
Makampuni mengine yaliyojitokeza ni yale yanayomiliki majarida. Haya ni Event, Dar Life na 7th FloorMedia kutoka hapa nchini na Go Places kutoka Kenya, ambavyo wanatangaza onesho hili kupitia majarida yao.
Aidha kampuni ya Montage imetoa udhamini wa kuwa mpambaji katika kumbi za mikutano.Boogie woogie pia wametoa udhamini na watakuwa na mgahawa wao wa chakula katika banda la utalii wa utamaduni ilhali wadhamini wengine Black Tomato wao watakuwa na banda la kuuza kahawa ya Tanzania.
‘Swahili International Tourism Expo’ litakuwa likifanyika kila mwaka mnamo mwezi wa Oktoba na kuhudhuriwa na washiriki kutoka ndani na nje ya Tanzania.

KURA YA HAPANA YALITIKISA BUNGE LA KATIBA


Wajumbe wa Bunge la Maalumu la Katiba jana walianza kupiga kura za kuamua ibara za Katiba inayopendekezwa, huku kura za wajumbe kutoka Zanzibar zikiibua wasiwasi wa iwapo theluthi mbili itapatikana au la.

Dalili za kupiga kura za hapana kutoka upande wa Zanzibar zilianza kujionyesha mapema baada ya taarifa za ndani kueleza kuwa zikikosekana 10 kutoka upande huo wa Muungano hakuna katiba.

Hata hivyo, mapema Mwenyekiti wa Bunge, Samuel Sitta alisema idadi ya kura zinazohitajika kukidhi theluthi mbili kwa upande wa Zanzibar ni 140 na jana jioni waliokuwamo bungeni walikuwa 142.

Mjumbe wa kwanza kufungua pazia kwa kura ya hapana alikuwa ni Adil Mohamed Adil aliyepiga ibara zote 157 kwa sura ya kwanza hadi 10.

Wengine waliopiga kura ya hapana kwa sura zote ni Dk Alley Soud Nasoro na Salma Said.

Waliopiga kura za hapana ni Fatuma Mohamed Hassan na Jamila Abeid Saleh, huku baadhi ya wajumbe wakipiga kura za siri.

Kwa upande wake, Ali Omary Juma, alikubaliana na sura za 2, 4, 5 na 9 lakini akizikataa sura za 1,3,6,7,8 na 10.

Kwa upande wa Tanzania Bara, wajumbe Abia Nyabakari na Dk Ave-Maria Semakafu walipiga kura za ndiyo kwa baadhi ya sura na zingine kuzikataa.

Mjumbe Ali Keissy Mohamed aliushangaza ukumbi kwa kupiga kura ya ndiyo kwa sura zote tofauti na wakati akiwa katika vikao vya kamati ambapo alikataa muundo wa serikali mbili.

Watakaopiga kura kwa faksi
Mwenyekiti wa Bunge Maalumu la Katiba, Samuel Sitta jana alitangaza orodha ya wajumbe 22 wanaotarajiwa kupiga kura kwa njia ya faksi au mtandao wakiwa nje ya Bunge hilo.
Katika orodha hiyo, akiwamo Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Jaji Fredrick Werema, wajumbe tisa wako Saudi Arabia kwa ajili ya Hijja, wawili India kwa matibabu, mmoja yuko masomoni Uholanzi na wengine nje ya Dodoma lakini yuko hapa nchini.


Orodha ya wajumbe
Wajumbe walioko Uarabuni ni Dk Abdalah Kigoda, Mussa Yusuph Kundecha, Hamza Mustapha Njozi, Mohamed Raza, Dk Maua Daftari, Shawana Bukheri Salum, Asha Dodo Mtwangi, Amina Andrew Clement na Riziki Lulida.

Wajumbe walioko India kwa matibabu ni Beatrice Shelukindo na Salum Hassan Turk.

Wajumbe wengine waliko nje ya nchi ni Fredrick Msigala, Waziri wa Afya, Dk Seif Suleiman Rashid, Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango Malecela na Waziri Mkuu Mstaafu, John Malecela.

Waliopo nchini ni Esther Bulaya, William Lukuvi, Profesa Esther Mwaikambo, Dk Athman Mfutakamba, Saada Salum Mkuya, Dk Henry Nyamubi, Sixtus Mapunda na Dk Natujwa Mvungi.

NABII ALITIKISA KANISA KWA KUFANYA MIUJIZA...MAELFU WAMIMINIKA KANISANI KWAKE


Na Mwandishi Wetu
Nabii wa Kanisa la Holly Ghost Fire lililopo Mbezi Juu – Kwa Temba ameendelea kuwa gumzo jijini Dar kwa miujizo anayoitenda kwa kuwaombea wagonjwa ambao wanapona Live bila King’amuzi.
Vyombo mbalimbali vya habari ukiwemo mtandao huu vilishuhudia maajabu ya nabii huyo anaejulikana kwa jina Jeremiah Lukiko “ Mzee wa Fire” vilishuhudia muujiza miujiza mbalimbali ya kuwaponya watu wenye ukoma pamoja magonjwa sugu yote.
Kanisa hilo ambalo licha ya kuwa change lakini maelfu yaw a waumini wamekuwa wakimiminika kwa ajili ya kupata huduma bora ya maombi yaliyojaa upako wa ajabu toka kwa mtumishi huyo wa Mungu natayari watu wengi wameanza kuhama makanisa mengi na kukimbia kwake kwa ajili ya kuponywa magonjwa yao.

Akiongea na waandishi wa habari mara baada ya ibada kumaliza mwishoni mwa juma Mchungaji huyo alisema” Hii ni miujiza ya kutisha Mungu anatenda kazi yake hapa hatuna mzaha na suala la uponyaji hapa hata ukija mgonjwa umebebwa kwenye machera haraka tu moto unafanya kazi yake hivyo natoa uwito kwa watanzania sasa waache kuteseka Mungu amewaleta mkombozi hata kama wamehangauika namna gani na magonjwa lakini hapa kwangu ni mwisho waje na Mungu atawaponya kwa maombi yangu na kwa uharaka zaidi” Alisema Nabii Jarry









Mtumishi huyo alitoa uwito kwa wakazi wa Jiji la Dar na vitongoji vyake kuacha kuteseka na maradhi, au wasiogope nguvu za kichawi, au chuma ulete na wale wenye umaskini wa kurithi pamoja na laana ya kurithi wafike Kanisani kwake awashughulike kwake ni kazi ndogo hiyo maombi pekee yanaweza kubadilisha maisha ya mtu kwa dakika kadhaa.


Na ratiba zinaanza kila siku za Jumatano, Alhamisi, Ijumaa, Jumamosi, ni saa kumi jino na Jumapili ibada inaanza saa tatu asubuhi hasi saa saba mchana na kwa wale wenye mahitaji ya maombi wapige namba ya huduma 0713-976786




































ANGALIA PICHA MICHEZO HATARI DUNIANI WALA USIJARIBU


Hii ishara inaonesha kuwa hautakiwi kunywa pombe .. sasa huyu jamaa anapata shida sana akitaka kunywa maji au chakula maana anatafuta kanafasi kadogo ili kufanya hivyo.
Ni alama ya tahadhali hii ni moja ya mamia ya watu ambao hawali nyama huko Thailand , huyu anaamini kwa kujiweka mapaga makali na kujichoma hivi itasaidia watu kuacha maovu kabisa na kuwapa amani mioyoni mwao
Hii ni hali ya kawaida sana kwao 
Huu ni utalii kabisa ambapo watu wengi wanaenda kuutazama , ikiwa kama kwetu pia likitokea kundi kama hili wanaokataa mambo maovu kwa mtindo huu itakuwa ni sehemu nzuri ya utalii
Hebu mtazame kwa umakini huyu jamaa yeye amejichoma na sindano kibao hapa chukua muda wako uzihesabu
Huyu kasha kula sana vyuma
Hii ni sema hapana kuto kula nyama, kufanya mapenzi na kunywa pombe 
Hii inamaanisha ni lazima kuangamiza maovu 
Haya si mapambo lakini hawa wanakataa matendo ya ajabu ajabu 
Sasa huyu ametobolewa na kuwekwa makamba mdomo mzima pia wanapigania kuacha na kutokomeza uhalifu 
Hapa Jibu unalo
Hapa wanaaminini nkabisa kwa kufanya hivi wanasema hapana kabisa uhalifu kataa uhalifu ndio maana yake hapa
Sasa Tazama huu Mjambia hapa jamaa analamba hajali vipi anaumia lakini anamaanisha uhalifu basi 
Tazama nanasi hizo zimepita katika waya ambao unasaidiwa na midomo yao ambauyo wamechomwa 
mambo yanaendelea 
Hapaana mchezo
MAELEZO NA THIS DAY MAGAZINE PICHA NA GATTY IMAGES/AFP/REUTERS