Naitwa naomi, kweli niliposikia kuhusu
dawa za kukuza makalio nilienda kuzinunua haraka na kupaka na Kuchoma
Sindano Pia ili Kukuza Makalio yawe kama ya Nick Minaj, Mwanzoni
nilifurahi kwa kuwa niliona kama vile yanakuwa kweli lakini sasa hivi
nimeanza kupata mashimo mashimo pia yanauma sana mpaka yanakuwa mekundu,
ukweli yamekuwa mzigo kwangu Hata sijui Nifanyaje Jamani
Atoa onyo kali kwa wanawake wakitanzania kujikubali vile walivyozaliwa kwani kwake sasa ni mateso
No comments:
Post a Comment