Mweenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwahutubia wananchi wa mji wa Nzega katika mkutano wa hadhara wa
Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe
akiwatambulisha viuongozi wa ngazi ya Kata wa Chama cha Wananchi (CUF),
kwenye mkutano wa hadhara wa Oparesheni Delete CCM, uliofanyika kwenye
Uwanja wa Paking mjini Nzega jana.
Mwenyekiti
wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Freeman Mbowe akiagana
na wananchi wa mji wa Nzega baada ya mkutano wa hadhara wa Oparesheni
Delete CCM, uliofanyika kwenye Uwanja wa Paking jana.
No comments:
Post a Comment