
REAL MADRID LEGENDS YAINYUKA TANZANIA 3-1
Rais Jakaya kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Tanzania 11
Rais Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na wachezaji wa Real Madrid Legends.
Luis Figo (kushoto), akiruka juu kupiga mpira wa kichwa.
Hekaheka langoni mwa Tanzania.
Mohamed Mwameja akiwa ameshika kiuno baada ya kufungwa goli la kwanza.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na kocha Msaidizi wa Tanzania 11, Jamhuri Kiwhelo 'Julio' mara baada ya mchezo.
Kiungo wa timu ya Real Madrid Legends, Christian Karembeu akichukua picha ya kumbukumbu na Rais Jakaya Kikwete.
Nzuri sana........
Mfunga wa mabao ya timu ya Real Madrid, Reuben akipokea mpira baada ya kupiga 'hat trick' katika mchezo huo.
Beki
wa timu ya Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa akichuana na mshambuliaji wa
Real Madriad Legends, Luis Figo wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akitafuta mbinu za kuwatoka
wachezaji wa Tanzania 11 wakati wa mchezo wa Kimatifa wa Kirafiki
uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Mshambuliaji
wa timu ya Real Madriad Legends, Luis Figo akimiliki mpira mbele ya
beki wa Tanzania 11, Shadrack Nsajigwa wakati wa mchezo wa Kimatifa wa
Kirafiki uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
Rais
Jakaya Kikwete akikabidhi kombe kwa mchezaji wa Real Madriad Legends
baada ya kuibuka na ushindi wa 3-1 dhidi ya Tanzania 11 katika mchezo
maalum wa kimataifa wa kirafiki uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa
jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)
Benchi la ufundi la Tanzania 11
Luis Figo akisalimiana na wachezaji wa Tanzania 11.
Peter Manyika akisalimiana na Luis Figo.
MAGWIJI WA REAL MADRID WAZINDUA DUKA JIPYA LA VIFAA VYA UMEME LA TROPICAL LILILOPO VICTORIA KINONDONI DAR
RAIS KIKWETE AWAPA ZAWADI FIGO NA WACHEZAJI WA REAL MADRIS
Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimpa zawadi ya kinyago mchezaji veterani wa
timu Real Madrid Luis Figo wakati wa hafla ya chakula cha jioni
aliyowaandalia wachezaji wa timu hiyo na timu ya maveterani ya Taifa
Stars ikulu jijini Dar es Salaam jana usiku baada ya mechi ya kirafiki
ambapo Real Madrid illifungaTaifa Stars 3-1 katika uwanja wa
Taifa.(picha na Freddy Maro).
No comments:
Post a Comment