Familia
ya kichina imekosolewa vikali na watu mbalimbali wanaopigania haki za
watoto baada ya kuonesha picha ya mtoto wao mchanga akiwa katikati ya
misosi huku akiwekewa mboga kama sehemu ya salad.
Mama yake mzazi, Qu Quan amesema kuwa wao walifanya kwa utani na
walikuwa wakicheka sana kumuona mtoto akijaribu kuamka kutoka kwenye
bakuli hilo huku akishindwa na kuendelea kulia na kisha wakamtoa.
Hata hivyo, sio wote waliowakosoa seriously, wengine walitania “Chinese people are capable of anything. The baby could be one of the menu.”
Hata hivyo, sio wote waliowakosoa seriously, wengine walitania “Chinese people are capable of anything. The baby could be one of the menu.”
No comments:
Post a Comment