Monday, September 29, 2014

MCHUNGAJI AMSUGUA MATITI MUUMINI WAKE WAPATE UWEZO WA KUZAA


Kila Siku zinavyoenda Vioja vinavyofanywa na Wachungaji wa Dini Vinaibuka , Baada ya hivi Karibuni mchungaji mmoja kuwalisha Nyasi Wafuasi wake Mwingine Ameibuka Nchini Kenya Akidai kuwaponya Wanawake ambao hawapati watoto Kwa Kuwasugua Matiti yao Huko Akiwaombea Katika ofisi yake....

No comments:

Post a Comment