Basi la Super Aljabir baada ya ajali.
watu 12
wamepoteza maisha huku wengine wakijeruhiwa baada ya Basi la Super
Aljabir linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Mahenge mkoani
Morogoro kugongana na treni maeneo ya Kiberege karibu na Ifakara,
Morogoro jioni hii.Ajali hiyo imetokea wakati basi hilo likijaribu kuwahi kuvuka reli kabla ya treni kupita.
Baadhi ya miili katika ajali hiyo ikiwa eneo la tukio.
No comments:
Post a Comment