“
Diamond Platnumz amefanikiwa kushinda tuzo tatu kati ya 4 alizokuwa anawania. Tuzo alizoshinda ni Most Gifted EastAfrica, Most Gifted Afro Pop na Most Gifted Newcomer.
Hizi ni picha za Diamond akiwa na mama yake mzazi, manager wake Bab Tale na Said Fela na Zari kutoka Uganda.
Kiukweli,
haikuwa rahisi kabisa.. lakini kwa uwezo wa Mwenyez Mungu na support
kubwa mliyonipa iliwezesha Bongo Flavour yetu kuandika Historia mpya
kwenye Ramani ya mziki wa Africa…Hii inaonyesha ni jinsi gani Umoja ni
nguvu na pia jins gani mziki wetu ukisupportiwa na kupewa kipaumbele
unaweza kufika mbali zaidi… Shukran sana kwa @channeloafrica @channelotv kwa
kuniona na kuthamini kipaji changu, My Family, Management, Media zote
zilizokuwa zikinisupport, Watangazaji, Wasanii, Wadau na bila kuwasahau
wapendwa wangu #TeamWasafi #TeamChibu #TeamPlatnumz #TeaMMondi toka
instagram, Facebook, Whatsapp, Twitter na kadharika, wakiongozwa na
kamanda langu @kifesi … Nawashkuruni sana sana
No comments:
Post a Comment