Wednesday, August 13, 2014

MAMA TUNU PINDA BALOZI WA AMANI DUNIANI


205026
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  akiwa na Rais wa Universal Peace Federation (UPF), Dk. Thomas Walsh (kushoto) na Mwenyekiti wa UPF, Dk. Charles Yang mara baada ya kutunukiwa cheti cha kumtambua kama Balozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amanina Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, KoreaKusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

205215
Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi wenzake 10 waliotunukiwa vyeti vya kuwatambua kama Mabalozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).
205257
  Mke wa Waziri Mkuu Mama Tunu Pinda  (wa pili kulia mstari wa mbele) katika picha ya pamoja viongozi wengine waliotunukiwa vyeti vya kuwatambua kama Mabalozi wa Amani Duniani katika hafla ya kufunga Mkutano wa Dunia kuhusu Amani na Usalama uliomalizika jana usiku (Agosti 12, 2014) jijini Seoul, Korea Kusini. Walioshika vyeti kutoka kushoto ni Mke wa Rais wa visiwa vya Samoa, Bibi Filifilia Tamasese , Mke wa Rais wa visiwa vya Marshall, Bibi Lieom Anono Loeak na Mke wa Rais wa Fiji, Bibi Koila Nailatikau. (PICHA NA IRENE BWIRE WA OWM).

No comments:

Post a Comment