Wednesday, August 13, 2014

HIVI KUMBE HUWA YANATOKEA EEEEEEE!!!!!!!!!!!!!!

 
hizi ni picha za moja ya fumanizi iliyokuwa ya kushangaza sana kuliko ulizowahi kuona kama si kusikia pia. Daktari na mgojwa wake wafumaniwa wodini wakuvunja moja ya amri ya Mungu.  Si ajabu sana ukaona waimbaji na waigizaji wakionyesha ama kuimba kitu na kudhani ya kuwa kimetungwa vihwani mwao hivi vitu vipo. Bahati Bukuku mwimbaji wa nyimbo za injili alionyesha ya kuwa amepata mtoto baada ya kutembea na daktari ili mumewe atibiwe. sasa hii ni kali yaweza kuwa mgonjwa alikosa pesa ya kulipia gharama za matibabu. I hate sex bribe. wanawake wengi huwa wanakutana na majanga kama haya isipokuwa tuu wanashindwa kuwa wawazi lakini ikifanyika sensa na wakaamua kusema duuuuuuuu ni hatari
Binti akijaribu kujificha chini ya kitanda

Hivi ikitokea katika kuperuzi unakutana na picha kama hizi mtandaoni harafu muhusika ni ndugu yako, mkeo, jirani yako, ama vingine tuuu unajisikiaje? Huu ni udharirishaji sana. Hata kama mtu umemfumania si lazima uumlazimishe kupiga picha kama hivi tena eti kwa kumshika kwa nguvu na cha ajabuu wanadeal na mwanamke tuuu mwanaume aaaah wanafanya kumsitiri ili asidharirike. mwanamke aonekane. TGNP na wanaharakati wakipiga kelele mwajisikia vibaya.

No comments:

Post a Comment