Stori: Waandishi Wetu
Imefichuka! Kwa muda mrefu kumekuwa na taarifa za chini kwa chini kwamba baadhi ya mastaa wa kike Bongo, hasa wale wa filamu ‘Bongo Movies’ huuzwa kwa wanaume, mara nyingine kwa kujua au kutojua lakini wenyewe wamekuwa wakikanusha hivyo kutoa ‘kibarua’ kwa Ijumaa kuingia mzigoni kisha kumuibua mmoja wa wahusika (kuwadi) anayerahisisha biashara hiyo haramu ya ngono.

Uchunguzi wa gazeti hili ulibaini kwamba, kuwadi huyo huwa anajua dau la kila staa hivyo anapopata mwanaume hasa mapedeshee, wafanyabiashara na baadhi ya vigogo serikalini, huwaunganisha kwa kutoa namna ya mawasiliano au kuwaunganisha moja kwa moja.
Uchunguzi huo ulibaini uwepo wa madai mazito kwamba wapo baadhi ya mastaa wa kike wa Bongo Movies ambao hugombewa na makuwadi kwa sababu wana soko kubwa.
“Jaribu kufikiri msanii haonekani location (eneo la kuigizia sinema) wala sinema aliyocheza haijulikani lakini muda mwingi utamuona anatanua kwenye viwanja vya starehe, lazima ujiongeze kwamba kipato kinatoka wapi?
Staa wa filamu Bongo Aunt Lulu.
“Mimi nakwambia hii Bongo Movies imebaki jina tu, sioni mwanga
mbeleni kwa sababu hawa mabinti hawapo serious zaidi ya kutafutiwa
wanaume,” kilidai chanzo chetu ambacho ni mfuatiliaji wa karibu wa kazi
za sanaa Bongo.
Madai mazito yaliendelea kushushwa kwamba wapo wanunuaji ambao huhonga magari (bila kadi) ambapo baadaye hukamatwa kimafia na kurejeshwa kwa mhongaji.
Ikazidi kufahamika kwamba, mastaa wenye sifa ya kuhongwa magari ni wale wenye majina makubwa.

Ilisemekana kwamba wapo mastaa wanaotajiwa dau kubwa kuanzia Sh. milioni tano na kuendelea na wapo wa chini ya hapo hadi buku hamsini (50,000).
Mpaka sasa kuna mastaa wanaowindwa na
makuwadi kwa kuwa wana soko na bei zao kwenye mabano ni pamoja na
Elizabeth Michael ‘Lulu’ (Mil. 5), Jokate Mwegelo (Mil. 5), Wema Isaac
Sepetu (Mil. 5), Kajala Masanja (Mil. 5) na Jacqueline Wolper Massawe
(Mil. 5).
Staa wa filamu Bongo, Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’.
Wengine ni Baby Joseph Madaha (Mil. 5), Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’
(Mil. 3), Aunty Ezekiel (Mil. 3), Jennifer Mwaipaja ‘Shumileta’ (Mil. 2)
Isabela Francis ‘Vai wa Ukweli’ (Mil. 1), Lulu Mathias ‘Anti Lulu’
(Mil. 1), Jacqueline Pentzel ‘Jack Chuz’ (Mi. 1) na wengine kibao ambapo
kwa sasa upepo umegeukia kwa wale wanaochipukia.
Katika kusaka ukweli juu ya skendo hiyo, jina la mmoja wa makuwadi hao ambaye ni mwigizaji wa kike Bongo, Lungi Maulanga (pichani) ilitajwa.
Mbali na Lungi pia alitajwa mwigizaji mmoja wa kiume wa Bongo Movies
na jamaa mwingine ambaye huwa ni mdandiaji wa ishu za mastaa (majina
tunayo, tutayataja tukijiridhisha kisheria).
Baada ya kutajiwa jina la Lungi, gazeti hili lilimsaka mwigizaji huyo anayedaiwa kuwauza baadhi ya mastaa hao kwa wanaume ambapo alibanwa vilivyo hadi akaanika siri nzito nyuma ya biashara hiyo kubwa isiyo na kodi.
Staa wa filamu Bongo, Wema Sepetu.
Mbali na kukiri kuwakuwadia mastaa hao
kipindi cha nyuma kabla ya kuacha, Lungi alifunguka kwamba amekuwa
akisumbuliwa na wanaume wakware wakitaka awaunganishe na mastaa ambao
alidai alishafanya nao kazi hiyo muda mrefu.
MSIKIE LUNGI Ijumaa: Habari yako Lungi... Lungi: Nzuri, mmekuja kufuata nini hapa (nyumbani kwake Kinondoni, Dar)? Ijumaa: Mbona unajihami? Tumekuja kukusomea mashitaka yako! Lungi: Mashitaka gani? Siku hizi nimetulia, sijichanganyi kama zamani, kulikoni tena? Ijumaa: Hapa kuna madai mazito...
Staa wa filamu Bongo, Vai wa Ukweli.
Lungi: Hebu semeni kilichowaleta, kwanza siku hizi sipendi kukutana na waandishi wa habari! Ijumaa:
Kuna za chinichini kwamba wewe ndiye unayewauza mastaa wa Bongo na
ndiyo biashara inayokuweka mjini kwa kuwa hata location huonekani. Je,
ni kweli?
Lungi: (kwa hasira) yaani mimi niwekwe mjini na mastaa? Kwani hamjui anayeniweka mjini? Au mnataka niwafukuze na panga?Ijumaa: Kwa nini unakuwa mkali Lungi? Unachotakiwa kufanya ni kutoa majibu kwa sababu kuna shosti’ako ametutajia staa uliyemuuza juzi tu!

Lungi: (bila kujua anarekodiwa) juzi! Sikieni,
nawaheshimu sana, mimi nilikuwa nikifanya biashara hiyo siku nyingi na
niliacha kwa sababu hao mastaa hawana maana, wakishapata wanajisikia na
kusahau walipotoka.
“Huyo aliyewaambia ana ushahidi gani kama juzi nimeshamuuza staa? Ijumaa: Oke, tuache hilo! Unakumbuka dau kubwa ulilowahi kupewa wakati unawakuwadia? Lungi:
(kwa mara ya kwanza anatabasamu) nilishawahi kupata hadi Sh. milioni
tatu na kima cha chini laki tano, lakini jamani mbona ni siku nyingi?
Staa wa filamu Bongo, Lungi Maulanga.
“Kwanza mimi sitaki hizo habari kabisa. Nimechoka kusumbuliwa na wanaume kwa ishu hizo.”Ijumaa: Hilo dau kubwa ulilipata kwa mwanaume wa Dar, mikoani au nje ya nchi?Lungi:
Watu wa mikoani ndiyo wanakata mkwanja mkubwa, hapa Dar longolongo tu.
Hiyo Sh. milioni tatu niliipata kwa jamaa mmoja wa Arusha.
No comments:
Post a Comment