Uchaguzi wa viongozi wakuu wa chama cha Democrasia na maendeleo CHADEMA umemalizika hapa katika ukumbi wa mliman city ambapo mwenyekiti wake FREMAN MBOWE ameshinda tena kiti hicho kwa kishindo na kutangazwa kuwa mwenyekiti mpya wa chama hicho kwa miaka mingine mitano
Mtokeo ni kama ifuatavyo
NAFASI YA UENYEKITI---
FREMAN MBOWE---KURA --789
GAMBARANYERE MWANGATEKA---KURA--20
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI BARA
PROFESA ABDALA SAFARI---KURA--775
NAFASI YA MAKAMU MWENYEKITI ZANZIBAR
SAID ISSA MOHAMED---KURA--645
HAMAD MUSSA YUSUPH--163.
Hivyo aliyekuwa mwenyekiti wa uchaguzi huo ALEX KISURURA amemtangaza mh FREMAN MBOWE kuwa mwenyekiti huku PROFESA SAFARI akichukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa bara na SAID ISSA MOHAMED kuchukua nafasi ya makamu mwenyekiti upande wa zanzibar.
CHINI KUNA PICHA ZA BAADA YA USHINDI
No comments:
Post a Comment