Wednesday, September 3, 2014

HUYU NDO MWANAMKE ALIYE ZAA NA PROFESSOR J




Profesa Jay amemuonesha mwanamke ambaye anaweza kuwa Mrs. Joseph Haule ambaye amemtaja kama mama mtoto wake. Wale wote mliofikiri Jay hana mke huyo kafunguka mwenyewe
Kupitia Instagram, Profesa amepost picha akiwa na mwanamke huyo na kuandika, “OF COURSE ni Baba LISA na Mama LISA. .... What more can I SAY?? #MWANALIZOMBE.”

No comments:

Post a Comment