JESHI LA POLISI KAHAMA LIMELAZIMIKA KUFYATUA RISASI ZA MOTO KUWATAWANYA WANANCHI KUCHOMA MOTO WATUHUMIWA
Maafisa
wa jeshi la Polisi wilaya ya Kahama wakiwa katika eneo la tukio katika
kwaajili ya kuuchukua mwili wa Marehemu.Inasemekana watuhumiwa hao
walivamia chumba ya mkazi mmoja wa mtaa wa Muhungula Kahama na kujeruhi
kwa mapanga watoto wawili usiku wa kuamkia leo.
No comments:
Post a Comment