MCHUNGAJI ALIYEAMUA KUBADILI KIZAZI CHA DOT COM NA MAFANIKIO YA MACHO KWA MACHO
Emmanuel Mgaya (street pastor) amejitoa muhanga kuokoa kizazi cha sasa kwa kuwafuata vijana mtaani na kuwahubiria neno la uzima la Yesu Kristo ambalo ndio uzima wa milele. Mchungaji hyu ambaye huvaa kama kijana na hufanya kama vijana watakavyo isipokuwa tuu kwake yeye Dhambi hapana. Chagua kuwa kama yeye ili ufanikiwe asilimia 100 duniani na mbinguni pia
Mchungaji akiwa kazini akivuna kondoo
MJENGO WA MSANII MASANJA ULIOPO JIJINI DSM kweli Mungu amemsuprise
No comments:
Post a Comment