Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akizungumza na viongozi wa Baraza la Habari Tanzania (MCT) wakati
walipofika ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11,
2014 kwa ajili ya mazungumzo.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akipokea baadhi ya machapisho ya Baraza la Habari Tanzania (MCT) kutoka
kwa Rais wa Baraza hilo, Jaji Thomas Mihayo, baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Septemba 11, 2014
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya viongozi wa Baraza la Habari
Tanzania (MCT) baada ya mazungumzo yao yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu
Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Septemba 11, 2014.
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiagana na Kaimu Katibu Mtendaji na Meneja Nyaraka na Machapisho wa
Baraza la Habari Tanzania (MCT) John Mirenyi baada ya mazungumzo yao
yaliyofanyika Ofisini kwa Makamu Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Septemba 11, 2014. Picha na OMR
No comments:
Post a Comment