Mwathirika
wa mabomu ya Mbagala ya mwaka 2009, Said Omary Mbonde akionyesha cheki
malipo ya Tsh 1950 kutoka Benki Kuu wakati wa mkutano na waandishi,
uliofanyika katika shule ya msingi Mbagala Kuu, jijini Dar es Salaam
jana. Picha na Rafael Lubava.....
No comments:
Post a Comment