WP 2806 CPL Riziki, akiwa chini baada ya kugongwa na daladala eneo la Mbagala Rangi 3 jana kabla ya kukimbizwa hospitali.
ASKARI
wa usalama barabarani, aliyejulikana kwa jina moja la Riziki, WP 2806
CPL Riziki, aliyegongwa na daladala aina ya DCM wakati akiwa katika
harakati za kutimiza majukumu ya kazi eneo la Mbagala Rangi Tatu jijini
Dar es Salaam jana asubuhi amefariki dunia leo.
No comments:
Post a Comment